info@dhuic.org +255766663737

Vission

Kutoa mafunzo ya Qur’an na Sunnah (Kwa ufahamu wa wema waliotangulia), elimu ya maarifa ya kiislamu pamoja na elimu ya mazingira. Vilevile Kujenga na kusimamia sehemu ya kufanyia ibada na sehemu za kutolea huduma za kijamii kwa jamii inayotuzunguka.

© Copyright 2023, All Rights Reserved.