info@dhuic.org +255766663737

Event Details

Markaz Daarul Hadith Ununio, Dar Es Saalam Tanzania

UFUNGUZI WA MARKAZ MWAKA WA MASOMO 2024/2025 (1445H)

5:00 pm - 6:20 pm BOOKING PRICE

muhula wa masomo markaz daarul Hadith Ununio

Uongozi wa markaz daarul Hadith Ununio unawatangazia waumini wote pamoja na wazai kuwa inatarajia kuanzisha muhula mpya wa masomo ya ngazi ya ibtidaiyyah mnamo tarehe 20/04/2024. Ngazi hii katika markaz Daarul Hadith Ununio Itasomeshwa kwa muda wa miaka miwili tu mpaka kukamilika kwake. Hivyo Uongozi wa markazi hii unawakaribisha wazazi wote na wanafunzi ambao wanataka kusoma masomo haya kujiandikisha mapema ili kuanza masomo mara tu tunapofungua muhula wa masomo.

Ratiba na muongozo mzima kuhusu ufundishaji na idadi ya masomo yatakayosomeshwa inapatikana katika nyaraka iliwekwa hapa chini ya tangazo hili.

Kwa kipindi cjha mwaka mmpoja mwanafunzio anatarajiwa kuchangia kiasi cha Shilingi ............. kama ada pamoja na michango ya uendeshaji wa markaz ndani ya mwaka huo wa masomo. Utaratibu wa kujiandikisha pamoja na malipo vyote vinafanyikia katika kituo chetu kwa kufika hapa moja kwa moja au kupitia mawasiliano ya kituo ambayo ni simu (NAMBA: 0766663737).

 

EVENT SPEAKERS:

Event Booking Form:

Bookings are closed for this event.

© Copyright 2023, All Rights Reserved.